<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>117</hymn_number>
<lyrics>[V1]
 Tufani inapovuma
 Sana moyoni mwangu,
 Huona pa kujificha
 Mkononi mwa Mungu.

[V2]
 Hunificha, hunificha
 Adui hatanipata,
 Hunificha, hunificha,
 Mkononi mwake.

[V3]
 Pengine kuna taabu
 Yanisongeza kwake;
 Naijua si hasira,
 Ni ya mapenzi yake.

[V4]
 Adui wakiniudhi
 Nami nikisumbuka,
 Mungu atavigeuza
 Vyote viwe baraka.

[V5]
 Niishipo duniani
 Ni tufani daima,
 Anilindapo rohoni
 Nitakaa salama.</lyrics>
<title>Tufani Inapovuma TZR117</title>
</song>